Fundi Sanifu Daraja La Ii (Umeme) at Halmashauri ya Wilaya Simanjiro

Fundi Sanifu Daraja La Ii (Umeme) at Halmashauri ya Wilaya Simanjiro

POST FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME) – 1 POST

POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya Simanjiro
APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 2020-09-14
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kufanya ukaguzi wa ubora wa magari ya Serikali na kurekebisha ipasavyo;
ii. Kufanya upimaji wa Mitambo na Umeme kufuatana na maelekezo ya Mhandisi;
iii. Kufanya matengenezo ya mifumo ya umeme;
iv. Kufanya kazi za kutengeneza mitambo,magari na vifaa vya umeme; na
v. Kufanya usanifu wa miradi midogo midogo ya umeme (kusimamia jinsi ya kufunga mashine mpya zinazowekwa kwenye karakana za Ufundi na Umeme.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne (IV) au sita (VI) na kufuzu mafunzo ya Ufundi ya miaka miwili/Stashahada katika fani ya Umeme kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS C

The post Fundi Sanifu Daraja La Ii (Umeme) at Halmashauri ya Wilaya Simanjiro appeared first on JobwebTanzania.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright AJIRA Published.. Blogger Templates
Back To Top